Bishop Michael Hafidh of Zanzibar, Guest of honour Mh. Otieno Igogo, General Secretary, ACT, Dr. Dickson chilongani |
Guest of honour entering with Rev. Johnson Lameck, Youth Co-ordinator, Dar-es-Salaam |
Organising Committee |
Jumla ya michango yote ilikuwa TSh. 18,000,000 (zaidi ya £7000). Tutatumia fedha hizo hasa kwa mradi wetu wa kujenga studio ya kurekodi. Hii ni hatua kubwa lakini bado tunaendelea kuchangisha fedha maana bado tunahitaji zaidi. Ukiweza kutusaidia na mchango angalia ukarasa wetu wa "justgiving" kupita link hapo juu.)
Johnson Mgimba Chairman, TAYO |
Also a few weeks ago we visited the diocese of Mpwapwa to asses the small loans and savings project which is half way through in that diocese. We visited 6 youth groups and their projects which included keeping pigs, chickens and goats, making gravel and selling bibles and other church resources.
All the projects are going well and the groups are successfully returning their loans and making savings. Please pray that their projects will continue to be a success and bring benefits to them, their families and their communities.
(Pia wiki chache zilizopita tulitembelea dayosisi ya Mpwapwa ili kufanya tathmini ya mradi wa kuweka na kukopa ambayo imefika katikati ya muda wake katika dayosisi ile. Tulitemblea vikundi 6 na miradi yao kwa mfano ufugaji wa nguruwe, kuku na mbuzi, kuponda kokoto na uuzaji wa biblia na vitu vingine vya kanisa. Miradi yote inaendelea vizuri na vikundi vinaendelea vizuri katika kurejesha mikopo yao na kuweka akiba.
Tunaomba maombi yenu kwamba miradi yao iendelee kuleta mafanikio na kuwafaidisha wanachama wenyewe, familia zao na jamii zao.)